Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 33,953
- 56,079
Kichwa KichafuBajeti itakayopangwa kwa walinzi wa Daslam ingependeza ijaziwe huko huko kusini walinzi wapate angalau mawili mawili kwa niaba ya kubadilisha pindi wakihitaji kufua
Kichwa KichafuBajeti itakayopangwa kwa walinzi wa Daslam ingependeza ijaziwe huko huko kusini walinzi wapate angalau mawili mawili kwa niaba ya kubadilisha pindi wakihitaji kufua
Heshima yako kiongozi.
Weee shindwa kabisa[emoji28]Ndo tayari hapo ushajileta kimasihara[emoji1787]
Nipo mkuuMadam upo!!
Kwako pia mkuu,Heshima yako kiongozi.
Heshima yako kiongozi.
Nipo mkuu
Umepotea sana,karibu lindoni
Tupo mkuu wakati mwingine tunasahau kuingia lindoni[emoji23]Kwako pia mkuu,
Nikajua upo off
Heshima yako boss huko ulipo pia.Mkuu ,
kichwa kichafu Na
Madam onlyalvira,
Salut kwenu
Lindo ni lazima mkuu hasa kipindi hichi cha hatariTupo mkuu wakati mwingine tunasahau kuingia lindoni[emoji23]
Lindo pia umewahi kufungua geti.Lindo limekuwa gumu kwa kweli... Barid ni kali mno natetemeka Hadi maini!
Pamoja kiongozi jambo jema sana.Nipo lindoni.
[emoji23][emoji23][emoji23] Tutaona mengi kipindi hiki.2309
Unataka umle kimasihara??
Pamoja Mkuu,Heshima yako boss huko ulipo pia.
Tunashukuru tumerudi tena.Pamoja Mkuu,
Lindoni ulipotea Mkuu...