Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,985
- 189,557
0142Nakuona! Nakuona!
Leo napita kama upepo wa kisulisuli.
Acha nami leo niwakabidhi lindo niwahi kulala.![]()
Hishma Kwako pia, pamoja na wana JF wote wa onlineWapo mkuu.
Heshima yako kiongozi.
Tupoooooo11/06/2021 saa 1:34 am.
Mpoo?
Shukrani sana mkuu.0142
Umeruhusiwa
Ahsante kwa kuwepo kwako, mpambanaji wa kukeshaTupoooooo

0055Leo walinzi mmepotea sana
0058 Lindo liendelee0055
Tupo mkuu,uko poa
0112🤠🤠✌️01:08 🎧🎧🎶🎵🎼View attachment 1815847
Sijui nipoje yan! Hadi najichikia sometimes! Nakula electro music hapa kwa sauti ya mbali ndani ya headphones, najikuta nipo high Hadi natokwa machozi namna instruments & lyrics zinavopenya masikioni 🥺🥺Wazee wa kukesha mpaka majogoo.