onlyalvira
JF-Expert Member
- Dec 9, 2013
- 1,499
- 3,117
2309humu ndani mudada yupo online tuchat
Unataka umle kimasihara??
2309humu ndani mudada yupo online tuchat
Ndo tayari hapo ushajileta kimasihara🤣2309
Unataka umle kimasihara??
Usiku ivo!
Wana JF mpoooView attachment 1816649

Madam upo!!2309
Unataka umle kimasihara??
Hahaha mpaka muda huu??Mmmmmh huu mda watoto bado wanaangalia tamthilia
Hahaha washalala tayari, ila si unawajua wakina junior??Hahaha mpaka muda huu??
Hahaha inabidi wajitahidi kulala mapemaHahaha washalala tayari, ila si unawajua wakina junior??
Hahaha mkuu, nakubali,pamoja sanaHahaha inabidi wajitahidi kulala mapema
Pole mkuuLindo limekuwa gumu kwa kweli... Barid ni kali mno natetemeka Hadi maini!
🙏 🙏 🙏Hahaha mkuu, nakubali,pamoja sana
Mpango mkakati uanzie nyanda za juu hukPole mkuu
Tupo kwenye mkakati wa kutafuta yale mashuka ya kimasai kwaajili ya walinzi wetu wote
Tutaanzia kusini kule maana theruji inadondoka sanaMpango mkakati uanzie nyanda za juu huk
Huku kwangu thermometer inasoma 6°CeliciusTutaanzia kusini kule maana theruji inadondoka sana
Ombi lako limepita chiefHuku kwangu thermometer inasoma 6°Celicius
Bajeti itakayopangwa kwa walinzi wa Daslam ingependeza ijaziwe huko huko kusini walinzi wapate angalau mawili mawili kwa niaba ya kubadilisha pindi wakihitaji kufuaTutaanzia kusini kule maana theruji inadondoka sana