moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 158,429
- 776,215
Nitamtafuata Kamanda mkuu Kichwa Kichafu akupandishe cheo[emoji23]Asante kwahilo mkuu,ila mm bado ni kuruti [emoji23][emoji23]
Nitamtafuata Kamanda mkuu Kichwa Kichafu akupandishe cheo[emoji23]Asante kwahilo mkuu,ila mm bado ni kuruti [emoji23][emoji23]
Waite tu wadada, hilo neno demu linasound awkwardHivi Kuna demu humu au manjemba tu Basi!?
Assnte[emoji120]Niko poa mkuu.
avatar yako naipenda mkuu
Vita ya wapi tena0550
Tunakusanya silaha sasa
Tumemaliza lindo tunafunga sasa leteni silahaVita ya wapi tena
Hiyo hapo nakabidhiTumemaliza lindo tunafunga sasa leteni silaha
0600Tumemaliza lindo tunafunga sasa leteni silaha
Vzur,asante sana mkuuHiyo hapo nakabidhi
Ahsante nawe piaVzur,asante sana mkuu
Uwe na siku njema sana.
Mkuu onlylvira wapi hiyo.Vzur,asante sana mkuu
Uwe na siku njema sana.