Gai da seboga
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 532
- 1,036
Usiku wa leo mfupi saana, lindo leo jepesi...
Ndio Niko napsnda kitandani
Awesome[emoji3526]Nyakati ambazo Mungu anapokea dua nyingi ni kuanzia saa kama hizi.... Mi nshaamuaga kupopo tu ntapumzika nikifa
pamoja sana mkuu0600
Tunafunga lindo
Tukutane kesho
Muwe na siku njema.
[emoji2960][emoji1323][emoji1323][emoji1323]Baby shem unatuaminisha kuwa saa yako huwa inawahi kila siku?
[emoji23][emoji23][emoji23] kabisa, tena utawaita na watetezi wa haki za binadamu waje kumkemea huyo mwajiri wakoShughuli ya kukesha hapa inahitaji wito[emoji23][emoji23]
Ukilazimishwa na mwajili wako uje hapa kupiga soga nyakati kama hizi lazima utafute mwasheria wa kukutetea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lakini kwakuwa ni hiyari unabaki hapa usiku mkubwa kiroho safi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kabisa, tena utawaita na watetezi wa haki za binadamu waje kumkemea huyo mwajiri wako