04:19...
Ningekuwa na chochote ningekuagiza bia moja popote ulipo... Ww ni mtu na nusu hakuna kulala kiboya04:19...
Mkuu habari banahKwa mangi hapa nipo kamshangwe kama zote, lindo tosha,Karibuni
[emoji178][emoji855]
Niko ghetto mzeeKwani uko wapi mkuu