JamiiForums Usiku wa manane
pole sana ka ukichoka na upati usingizi meza piriton
Heee
Sa mkuu urafiki gani huo!
kwani we hauna hicho kitu mpaka nianze kumeza vidonge!?
jiangalie mkuu kama unacho ni kheri unipe kuliko kumeza mavidonge
 
Utaonekana wewe ndio mzinguaje kama utataka kwenda nae tit 4 tat, muache awe baba tuu!
Hapana siendi nae tit4tat ila nachofanya Ni kumuweka pembeni sitotaka Mawasiliano nae coz siko kwake Niko kwangu imekua kila nikimshirikisha mipango anaingilia Kati Kama mwema badae ananirudisha chin ...Apo nafanyaje? Najitenga taratibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom