Aladeen04
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 3,577
- 5,780
Tangu asubuhi wajomba tunapigika na bado usiku mwendelezo ni uleule.Wengi walikuwa kwenye mishemishe,wamechoka
Tangu asubuhi wajomba tunapigika na bado usiku mwendelezo ni uleule.Wengi walikuwa kwenye mishemishe,wamechoka
watu wanaachia lindo mapema
Tangu asubuhi wajomba tunapigika na bado usiku mwendelezo ni uleule.
Njema mkuu wangu.Poa kabisa,za kwako
kweli bila mishe ku survive n ngumuWengi walikuwa kwenye mishemishe,wamechoka
Mzima eeehwasaalam
mpaka kieleweke ni kupambana ndo kitu ch muhimuTangu asubuhi wajomba tunapigika na bado usiku mwendelezo ni uleule.
Kombe lazma lirudi home mze💪mpaka kieleweke ni kupambana ndo kitu ch muhimu
kabisaa wewe je?Mzima eeeh
Mi shwari, sema nimemiss kitu furani mpaka usingizi sipatikabisaa wewe je?
.
Tunapambana na mbinu zakuamka nazo yani.mpaka kieleweke ni kupambana ndo kitu ch muhimu
ni nini icho mkuu🤔Mi shwari, sema nimemiss kitu furani mpaka usingizi sipati.
Daaaa![]()
pamoja sana mkuuTupo mkuu
ipo wazi kwa mbinu yeyoteKombe lazma lirudi home mze💪
kweliiiTunapambana na mbinu zakuamka nazo yani.
Acha tuu ukilala ukiamka unaanza upya. bora calculation zifanyike muda huu pakikucha unajua uanzie wapi.kweliii
Kuna kitu huwaga nakipata usiku, nina siku kama 5 sijakipata na usingizi unakata mkuuni nini icho mkuu![]()
