NkumbiSon
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 2,526
- 3,563
Wazee wetu hawaamini katika mabadiliko ya kimaisha yanayotokea na wanasahau kwamba sisi ndio tuliobadilika nayo, tunaijua analogy na tunaijua digital but wao wanataka tuendelee kuamini katika maisha ya analogia.Hapana siendi nae tit4tat ila nachofanya Ni kumuweka pembeni sitotaka Mawasiliano nae coz siko kwake Niko kwangu imekua kila nikimshirikisha mipango anaingilia Kati Kama mwema badae ananirudisha chin ...Apo nafanyaje? Najitenga taratibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzazi anaweza kukukunjia kisa umemaliza chuo na hauna ajira kiasi chakuona amepoteza, bado hana imani na utakachitaka kukifanya kwa vile tuu labda hakielewi na hapo ndipo changamoto zinapotokea.
Uamuzi unaoamua nilishaufanya mika mitano kabla ya kuja kuishi nae mwaka mzima nikimuuguza na Mungu alimpenda Zaidi, (R.I.P) ila aliweza kukubali kuwa alikua wrong namna alivyokua ananichukulia baada yakuona wote alioamini wanaamtii wakimkimbia na kubaki mtu 2 mimi na yeye huku nikiona muda na mishe zangu si kitu tena mbele ya kutetea uhai wake.
So nakuunga mkono ila usimchukie au kumpotezea kabisa.
kapona Kuna tukio kanipga mpka nikashika kichwa