Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,504
- 57,049
Bahati mbaya niko mwenyewe mkuu,ila DJ anapiga Ngoma nzuri sana, anafanya safari ionekane fupi kabisaKama uko na mama hapo,
Remmy Ongala - Kipenda roho,
ihusike.
Bahati mbaya niko mwenyewe mkuu,ila DJ anapiga Ngoma nzuri sana, anafanya safari ionekane fupi kabisaKama uko na mama hapo,
Remmy Ongala - Kipenda roho,
ihusike.
Blanket mpaka usoni hapana..Kwanza sipendi jifunika wakati wa baridi la dar najifunika tu nifanyeje..,ila hongera aisee
Hehe..sawa nitafanya ivyoNi simple,
Follow these simple steps :-
1. Zama ndani ya blanketi ukiwa na pant tu,
2.Usifikirie utapumuaje, ukiwaza tu ivo lazima utoe kishingo nnje,
3.Lala kwa style ya ubavu,
Taarii.
Lipogo lile la miezi michacheDar hua kuna baridi mkuu?
Au cheki horror uone kama hutajifunika full😅, au usikie chakachaka uko Nnje.Hehe..sawa nitafanya ivyo
Hunitakii mema weweAu cheki horror uone kama hutajifunika full😅, au usika chakachaka.
Jirani mwenzako nakuonea gere.
😅 😅 😅 😅Hunitakii mema wewe
Mh utalogwa au?Ukiwa Umeenda Tanga ukawa ktk ile shughuli then ukasikia mrembo anakwambia mwenzio jirani anakuonea wivu ogopa sana.
Mh utalogwa au?
Naomba tips mkuu.
😅 😅 😅 😅 😅Daah hapana mkuu,ni mambo ya kihuni tu.
Yaani hapo anamaanisha ‘jirani’ nae anataka huduma.
Umenisoma?
Mambo vipi mkuuHabari zenu
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Dah mungu aniepushie asee sijui kama nitaruka huo mtego kweli.
Basi nawaachia Tanga yenu,Hahah sali sana mkuu.
Njema sanaHabari za weekend wakuu