JamiiForums Usiku wa manane
Hahahah kwa kweli,
Japo kwa upande wangu siogopagi,
Me kitu kinanishangaza ni baadhii ya Wanawake hawazimagi taa usiku mpka asubuhi!!!
Hahahaha umenikumbusha few weeks ago nilikuwa nalala na taa on till morning...nikawa naona najitesa usingizi unakuwa wa maumivu nikaona isiwe tabu..siku hizi nazim taa
 
Back
Top Bottom