JamiiForums Usiku wa manane
Wakuu mlipo hali ikoje
Kwetu umepita upepo mkali Sana na vimulimuli vya radi nimeamka baada kusikia vitu vikianguka na kupelekwa na upepo baada ya kuchungulia nje nimeogopa kuona mti uliopo nje ya nyuma ukiyumbishwa Sana kiasi ya kunitia hofu ikabidi nikae attention hata Kama ukiangukia nyumba niweze kujiwahi umeme ukakatika na mvua ikaanza kidogo kidogo uzuri upepo mkali haukudumu inaoendelea mvua mpaka wakati huu hilo balaa limeanza saa sita na robo hivi

Wadau nyie mko wapi na hali ikoje huko?
 
Wakuu mlipo hali ikoje
Kwetu umepita upepo mkali Sana nimeamka baada kusikia vitu vikianguka na kupelekwa na upepo baada ya kuchungulia nje nimeogopa kuona mti uliopo nje ya nyuma ukiyumbishwa Sana kiasi ya kunitia hofu ikabidi nikae attention hata Kama ukiangukia nyumba niweze kujiwahi umeme ukakatika na mvua ikaanza kidogo kidogo uzuri upepo mkali haukudumu inaoendelea mvua mpaka wakati huu hilo balaa limeanza saa sita na robo hivi

Wadau nyie mko wapi na hali ikoje huko?
Itakua pepo hilo limepita
 
Wakuu mlipo hali ikoje
Kwetu umepita upepo mkali Sana na vimulimuli vya radi nimeamka baada kusikia vitu vikianguka na kupelekwa na upepo baada ya kuchungulia nje nimeogopa kuona mti uliopo nje ya nyuma ukiyumbishwa Sana kiasi ya kunitia hofu ikabidi nikae attention hata Kama ukiangukia nyumba niweze kujiwahi umeme ukakatika na mvua ikaanza kidogo kidogo uzuri upepo mkali haukudumu inaoendelea mvua mpaka wakati huu hilo balaa limeanza saa sita na robo hivi

Wadau nyie mko wapi na hali ikoje huko?
Huku niliko hali ni shwari kabisa ni mvua na vijiradi vya hapa na pale basi ni burudani tu
 
Wakuu mlipo hali ikoje
Kwetu umepita upepo mkali Sana na vimulimuli vya radi nimeamka baada kusikia vitu vikianguka na kupelekwa na upepo baada ya kuchungulia nje nimeogopa kuona mti uliopo nje ya nyuma ukiyumbishwa Sana kiasi ya kunitia hofu ikabidi nikae attention hata Kama ukiangukia nyumba niweze kujiwahi umeme ukakatika na mvua ikaanza kidogo kidogo uzuri upepo mkali haukudumu inaoendelea mvua mpaka wakati huu hilo balaa limeanza saa sita na robo hivi

Wadau nyie mko wapi na hali ikoje huko?
Itakua pepo hilo limepita
Eh mbona unanitisha mkuu niko hapa na hata umeme hamna Ni mvua tu na vimulimuli nje huko
Pole sana mkuu, wezi wakija utawasikia maana upo macho, upo mkoa gani mkuu
Mtanisamehe bure ila mmenichekesha sana, sijui kama mpo serious au la
 
Back
Top Bottom