Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,552
Wee shabiki wa utoNyauuuuuuuuu
pole sana mungu atakuonekania uione kesho ilivo njemaMwenzenu moyo unanienda mbio kama compass ya Jack sparrow...
Naamini Mungu ataniamsha salama kesho
Amen mkuupole sana mungu atakuonekania uione kesho ilivo njema
tumia kila mbinu lindo liwe salamView attachment 1675227
Kwa mwenye tochi mbili au panga aniazime kimoja
Leo alindo
Mikono mitupu wazee.
kumbe unamskia kam mimi nikajua uko naeNipo hapa, kwa mbaaaali namsikia Zuchu na Twachezeshana
tumia kila mbinu lindo liwe salam
kweli unatumia mbinu za menelik zilizomsaidia asitawaliwe n wakolonPlan B
Ni kuhamishia mlima wa mawe karibu ya lindo
01:48
kusini mashariki lindo liko salama
mpaka kiereweke lindo likae radaOver Over
Nakupata..
Kwako kamanda Muraa? Reo hakuna kurara
Uto ndiyo kitu ganiWee shabiki wa uto