Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,403
- 31,659
Dini inakuruhusu kuwa na wake wanne au huyo ni mchepuko?Thanks my love.
Leo sitokuamsha!
Dini inakuruhusu kuwa na wake wanne au huyo ni mchepuko?Thanks my love.
Leo sitokuamsha!
[emoji23][emoji23][emoji23] wosia wa mwaka 2021!
Njoo tulindeLindo...
Njoo kwanza private huko nextNjoo tulinde
Dini inakuruhusu kuwa na wake wanne au huyo ni mchepuko?
Mzeee hii mvua atari.Mvua na Radi na Upepo [emoji2484]
[emoji23][emoji23][emoji23] Baby shem ndo uoe ili uwe unafaidi mvua za usiku kama wenzio!Mvua na Radi na Upepo [emoji2484]
Wewe ulikua wapi mlinzi mkuuKumbe ndo maana walinzi wa jana mlivamiwa na vibaka mlikuwa mmelewa k-vant
Hii mvua ya leo ina makusudi, yaani imesubiri niachike ndo inyeshe usiku[emoji57]Mzeee hii mvua atari.
Kibaridi flan amaizing dsm
Nilikuwa napalilia ndoa[emoji6]Wewe ulikua wapi mlinzi mkuu
Vuta shuka jikusanye kati kati ya kitanda.... Nina electrical blanket nikutumie unachomeka ukutani plug tu kitanda kizima jotoHii mvua ya leo ina makusudi, yaani imesubiri niachike ndo inyeshe usiku[emoji57]
Nimekumiss mkubwa wao, upo habari za muda mrefuNilikuwa napalilia ndoa[emoji6]
Yaani....Hii mvua ya leo ina makusudi, yaani imesubiri niachike ndo inyeshe usiku[emoji57]
Badala ya kunitumia hilo blanket we toroke uje tukumbatiane tu[emoji6]Vuta shuka jikusanye kati kati ya kitanda.... Nina electrical blanket nikutumie unachomeka ukutani plug tu kitanda kizima joto
Nimekumiss zaidi best, nipo vizuri kabisa!Nimekumiss mkubwa wao, upo habari za muda mrefu
Lindo...
Leo tunatoboa sio maana ni kitu cha hasi na chanya ni mwendo wa checheeee msuguo mpaka cheche zitokeNimekumiss zaidi best, nipo vizuri kabisa!
Leo tunatoboa sio maana ni kitu cha hasi na chanya ni mwendo wa checheeee msuguo mpaka cheche zitoke