mzushi flani
JF-Expert Member
- Jan 20, 2020
- 1,626
- 2,482
aiseee, kumbe zuchu anajua kuimba!?.. nmesikiliza nyimbo zake 10 kama adhabu kutoka kwa mchuchu wangu kisa sijamnunulia zawadi ya besideiii.. ngoja ninawe miguu nirudi kitandani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app


