Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,602
- 20,098
Duuuh. Pole sana mkuu. Nawe ni muathirika wa hilo jambo??Jamani tukaribishane kulala wengine hatuna kwa kulaza mbavu zetu baada ya makazi yetu kupitiwa na tingatinga za tanraod na dawasco
Duuuh. Pole sana mkuu. Nawe ni muathirika wa hilo jambo??Jamani tukaribishane kulala wengine hatuna kwa kulaza mbavu zetu baada ya makazi yetu kupitiwa na tingatinga za tanraod na dawasco
Ndugu yanguuuuu,hiki ki mvua hatari sanaNaam habali godoroni hapo
Na kimvua hikii
Salama mpendwa sijui weweNipo mydear, Vipi wewe unaendeleaje
Kina uchokozi acha tuNdugu yanguuuuu,hiki ki mvua hatari sana
Karibu tuegeshe mbavu hapa kwenye box,upenuni mwa maduka ya wahindi hapa k'kooJamani tukaribishane kulala wengine hatuna kwa kulaza mbavu zetu baada ya makazi yetu kupitiwa na tingatinga za tanraod na dawasco
Tafadhali mangi...usije ukamalizia hasira zako kwetu,ukatufungia geti mapema yote hiiHaka kamvua kamesababisha ka kioski changu kamedorora sana leo

Wacha nisogeze muda kidogo ThadTafadhali mangi...usije ukamalizia hasira zako kwetu,ukatufungia geti mapema yote hii![]()
![]()
![]()
Eeeh bwana, mvua isikukatishe tamaa ni changamoto tu ya kawaida katika biashara....hivi bombadia unauza sh.ngapi vileWacha nisogeze muda kidogo Thad
Ndugu yanguuuuu,hiki ki mvua hatari sana
Hapo ndo utaijua hasara ya kuwa single!![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
kweliii kabisa
Pambana na hali yako kwa kukumbatia mto,hauna namna best!Bado upo wangu?![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
kweliii kabisa
Nilikuwa naangalia series fulani. Nalala now thoBado upo wangu?
Umejuaje. Nimekumbatia mto na shuka langu na sign out now.![]()
![]()
Pambana na hali yako kwa kukumbatia mto,hauna namna best!
Yani upate hasara na marafiki unao?![]()
![]()
Hapo ndo utaijua hasara ya kuwa single!