JamiiForums Usiku wa manane
yani usingizi niwakukatakata naukija naota mandoto ya kiseng3..hizi stress zitakuja kuniua maanina
 
a3d6837c7effa51d67740a471c43ac17.jpg
 
Kumbe umemshtukia mkuu, Neybright ukuje huku tafadhali, bila kumsahau jje's na bundi Thad
Hey wapendwa wote,
Nawasalimu wote kwa jina la Yesu. Niombe udhuru wa week hii nikirudi ulingoni nitajieleza y nimeshindwa kuwa nanyi wkt huu. Nimeona sio vzr kutokomea bila kuaga. Naona kuna wageni wengi nawasalimu pia na karibuni
Nitawamis sana jaman nianze na my brother Nganengo, na kina KK, Thad, Ney, ML, Maserati, dingi mtoto, mangi mtata, trascend na mkuu wa uzi No Escape
Bila kuwasahau mapopo na bundi's woteee
 
Tutakumis u more mshiki oko mkunde,
Nasubiri kwa hamu maelezo kuhusu huyo mtekaji wa ghafla asiyejulikana
 
Hey wapendwa wote,
Nawasalimu wote kwa jina la Yesu. Niombe udhuru wa week hii nikirudi ulingoni nitajieleza y nimeshindwa kuwa nanyi wkt huu. Nimeona sio vzr kutokomea bila kuaga. Naona kuna wageni wengi nawasalimu pia na karibuni
Nitawamis sana jaman nianze na my brother Nganengo, na kina KK, Thad, Ney, ML, Maserati, dingi mtoto, mangi mtata, trascend na mkuu wa uzi No Escape
Bila kuwasahau mapopo na bundi's woteee
Oooh we will miss you maa ,ila asanteh kwa taarifa mpenzi uende na urudi salama jamani
 
Hey wapendwa wote,
Nawasalimu wote kwa jina la Yesu. Niombe udhuru wa week hii nikirudi ulingoni nitajieleza y nimeshindwa kuwa nanyi wkt huu. Nimeona sio vzr kutokomea bila kuaga. Naona kuna wageni wengi nawasalimu pia na karibuni
Nitawamis sana jaman nianze na my brother Nganengo, na kina KK, Thad, Ney, ML, Maserati, dingi mtoto, mangi mtata, trascend na mkuu wa uzi No Escape
Bila kuwasahau mapopo na bundi's woteee
Kila heri huko uliko!
Tutakuhamu mno my dear
 
Wapendwa Popoooozz, popo kongwe kama kawaida napita tu kuwasalimia
 
Hey wapendwa wote,
Nawasalimu wote kwa jina la Yesu. Niombe udhuru wa week hii nikirudi ulingoni nitajieleza y nimeshindwa kuwa nanyi wkt huu. Nimeona sio vzr kutokomea bila kuaga. Naona kuna wageni wengi nawasalimu pia na karibuni
Nitawamis sana jaman nianze na my brother Nganengo, na kina KK, Thad, Ney, ML, Maserati, dingi mtoto, mangi mtata, trascend na mkuu wa uzi No Escape
Bila kuwasahau mapopo na bundi's woteee
Sie tupo utatukuta mpendwa.
 
Back
Top Bottom