mgunga pori
JF-Expert Member
- Jul 23, 2016
- 4,093
- 4,912
Mkuu acha tuu haya maisha hayaWanaofika majumbani mida hii Dar nawasalim...
Poleni pia.
Mkuu acha tuu haya maisha hayaWanaofika majumbani mida hii Dar nawasalim...
Poleni pia.
Acha tubakie huku milimaniMvua ya siku moja imeleta tafrani, sisi wa mikoani bado mvua kutunyeshea
Poleni....Mkuu acha tuu haya maisha haya
Wewe wa dar banahAcha tubakie huku milimani
Nilikimbia umande.....Aisifiae mvua![]()
Naendaga Dar kwa mwaliko...Wewe wa dar banah
Huwez amini this material time ndio nafkaPoleni....
Shule na faida zakeNilikimbia umande.....
Huu ndio mwaliko wa wakazi wa Dar....Huwez amini this material time ndio nafka
Karibu tupige Kimario Vant



Duh hizi fiksiNaendaga Dar kwa mwaliko...
Sio Kila king'aacho ni .....Duh hizi fiksi
Natafuta mtu mwenye mtumbwi aniuzie si kwa kero hiziiiHuu ndio mwaliko wa wakazi wa Dar....
Asante nitajongea punde...
Wala usinunue mtumbwi....Natafuta mtu mwenye mtumbwi aniuzie si kwa kero hiziii



Mkuu ofisi ipo magomeniWala usinunue mtumbwi....
Chukua apartment karibia na ofisini kwako....uitumie Mon-Fri...weekend unarudi makazi makuu...![]()
Mkuu huko usalama upoMaisha ya Dar kipindi kama hiki cha mvua huwa maisha yanakuwa magumu sana...
Fanya umiliki nyumba ...mjini.Mkuu ofisi ipo magomeni
Naishi mlandiz nimekimbia mji kutokana na stress za land lord
Tutapamba hivyo hivyo



Wazo jema mkuuFanya umiliki nyumba ...mjini.![]()