Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,057
Nilale saa naangaika na kituhakisemi toka saa 8 mpaka saiz ndio namaliza 😬😬
Ok, lindo limefungwa rasmi.Wakufunga lindo ajefunge sasa
Nakazia.Ok, lindo limefungwa rasmi.
😅😅Restricted Area usikatize hapa ⚠⚠
Hujalala tu00:10
Nimelala JF rafiki yangu.sasa hivi ndo ni naamka.Hujalala tu
Nipo nimekusubiri sana nikaona kimya ,sijui nani alikuteka akakuficha ,SAA hz ndio anakuachiaNimelala JF rafiki yangu.sasa hivi ndo ni naamka.
Umepotea sana rafiki yangu![]()
😁😁😁nilitekwa na usingizi kitandani kwangu..Nipo nimekusubiri sana nikaona kimya ,sijui nani alikuteka akakuficha ,SAA hz ndio anakuachia
Hivi uchaguzi unaisha lini??ninakumiss sana huku jukwaani😌😌Nipo nimekusubiri sana nikaona kimya ,sijui nani alikuteka akakuficha ,SAA hz ndio anakuachia
Hahahaha, huyo atakua mtekaji special ,anakuteka kwa kitanda chako ? Namba yako nilimiss placenilitekwa na usingizi kitandani kwangu..
siku nyingine ukiona niko kimya nipigie tu
Siku chache zimebaki Rafiki yangu kipenziHivi uchaguzi unaisha lini??ninakumiss sana huku jukwaani![]()
😁😁😁si unajua usingizi ni special thing ee...Ehee huyo huyo😁😁Hahahaha, huyo atakua mtekaji special ,anakuteka kwa kitanda chako ? Namba yako nilimiss place
huhuuuuuuu🧚♀️🧚♀️🧚♀️🧚♀️🧚♀️Siku chache zimebaki Rafiki yangu kipenzi
Ooh ,usijari Rafiki ,nami nakumiss sana Rafiki kipenzi changuH
huhuuuuuuu
Bora uishe waaahii mi nimechoka kukumiss rafiki yangu kipenzi
Hahahaha haya banasi unajua usingizi ni special thing ee...Ehee huyo huyo
Pole Rafik yangu nilikuwa sijui