Ronnycinchy
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 2,086
- 7,121
Nilikuwepo....[emoji42][emoji42]
Pumzika salama mkuuNilikuwepo....[emoji42][emoji42]
Tupo karibu lindooni mkuu3:46
Safiii Sana heka heka za mvua tuuAkhsante
Habari yako
Poleni sanaSafiii Sana heka heka za mvua tuu
Vp kwenu huko mpo salamaPoleni sana
Huku Kwetu imenyesha sana ila ilianza jioniVp kwenu huko mpo salama
Heri huko dsm ni balaa tupuHuku Kwetu imenyesha sana ila ilianza jioni
Huku hakuna shida sana kama huko kwenu Daslam[emoji16]
Yaani huko ni balaa kubwaHeri huko dsm ni balaa tupu
Tutakuja mkuu fursa vp zpo hukoYaani huko ni balaa kubwa
Karibuni mikoani[emoji16]
Komaa mjuba 02:14Kuna baamedi nimvizia afunge...huu umero utatuua huu
Kuna baamedi nimvizia afunge...huu umero utatuua huu
1:40hahha usisahau zana baharia