Nipo 3:24Uzi unaboa kinyama, hakuna hata wa kupiga nae stori!
Duh! Umempoteza kivipi?Nipeni mbinu ya kupata usingizi tangu ninempoteza mwanangu nakosa usingizi wapendwa
Pole sana .hiyo hali itaisha tu taratibu...lakinu pia jilazimishe kufanya mazoez ili muda wa kulala uwe umechokaNipeni mbinu ya kupata usingizi tangu ninempoteza mwanangu nakosa usingizi wapendwa
Thanx mpenziPole sana .hiyo hali itaisha tu taratibu...lakinu pia jilazimishe kufanya mazoez ili muda wa kulala uwe umechoka
Yaan leo nilienda bar kula baadae nikakikuta nimeanza kunywa pombe hii ni baada ya kusimama wiki mbili nikijifanya namrudia Mungu....kilichonipata sasa dah! Et nikaanza kumuonea wivu mtu anayenitongoza tu...yaani tangu saa nane nipo macho najutraaaaa dah najuta kulewa cjui ilikuaje

Pole sana .hiyo hali itaisha tu taratibu...lakinu pia jilazimishe kufanya mazoez ili muda wa kulala uwe umechoka
Pole sana
Yaan leo nilienda bar kula baadae nikakikuta nimeanza kunywa pombe hii ni baada ya kusimama wiki mbili nikijifanya namrudia Mungu....kilichonipata sasa dah! Et nikaanza kumuonea wivu mtu anayenitongoza tu...yaani tangu saa nane nipo macho najutraaaaa dah najuta kulewa cjui ilikuaje
Namm nataka nikutongozeYaan leo nilienda bar kula baadae nikakikuta nimeanza kunywa pombe hii ni baada ya kusimama wiki mbili nikijifanya namrudia Mungu....kilichonipata sasa dah! Et nikaanza kumuonea wivu mtu anayenitongoza tu...yaani tangu saa nane nipo macho najutraaaaa dah najuta kulewa cjui ilikuaje