kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 6,162
- 15,822
Lindo lipo salama ?
Stream mtaalam, ku download unajaza tu simu yakoAah! Kweli nipo nje ya muda niliona artwork nikajua atachelewa kutoa basi ngoja nikaipakue mahali fulani hivi.
Huwa na download kabisa alafu naanza chuja moja baada ya nyingine ndivyo nilivyozoea.Stream mtaalam, ku download unajaza tu simu yako
🥂🥂🥂Listen this
View attachment 1583097
TupooWalinzi..
Nipo mkuuKuna mlinzi mmoja namtafuta humu ndani sijamuona mpka sasa
Nimeamka kipenziAmka dada
usingizi umetoroka nimekaa sijui nifanhe nini?Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.
Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 asubuhi. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua KUFANYA IBADA Tuuuu!