Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,393
- 59,137
saa 3:30Amka mazee
saa 3:30Amka mazee
Mashabiki wa Manchester city mlale
Leicester city muwe na wkend njema
Utopolo FC, ashukuruwe carlinho kwa kona yake makini kabisa iliyomaliziwa na L. Moro...
Kesho Liverpool tuna jambo letu dhidi ya Asenane
11:20, niko around..

Kesho ni send off.......halaf alhamic tunachukua jiko letu kabisa umri ushaenda huu sio wa kucheza na watoto wa watuGunners tuna jambo letu 💪Mashabiki wa Manchester city mlale
Leicester city muwe na wkend njema
😅😅😅
Utopolo FC, ashukuruwe carlinho kwa kona yake makini kabisa iliyomaliziwa na L. Moro...
Kesho Liverpool tuna jambo letu dhidi ya Asenane
11:20, niko around..
Sidhani kama itakuwa rahisi kama mlivyokuwa mmemuotea Leicester city...Gunners tuna jambo letu 💪
Amka dadaMsisahau kuniamsha mida mibovu jamani...😜
Leicester city kashapunguza machungu yake teyari kesho sisi Jogoo tunampika mchemsho ligi kwetu ndio imeanza.Sidhani kama itakuwa rahisi kama mlivyokuwa mmemuotea Leicester city...
Kwani hii album ishakuwa released!
Tangu JuziKwani hii album ishakuwa released!
Aah! Kweli nipo nje ya muda niliona artwork nikajua atachelewa kutoa basi ngoja nikaipakue mahali fulani hivi.Tangu JuziView attachment 1583093
Hiyo ngoma na 2chainz itakuwa ya 🔥🔥🔥Tangu JuziView attachment 1583093