Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,059
Naona kila dalili kabisa.Haendi huyo
Naona kila dalili kabisa.Haendi huyo
Nitachelewa kutoka....nikapikeNenda ya pili.
Umejuaje?
Eehhh . ...nije kunyooshea kwako?Utanyosha nguo ukiamka my dear
Hufai kabisa....mama mtumishi hawezi kosa IbadaHaendi huyo
[emoji1787] [emoji1787]Naona nishaanza kuzidiwa hapa.
[emoji1787] [emoji1787] Tulia mama mariaHufai kabisa....mama mtumishi hawezi kosa Ibada
Njoo nitafurahi ukija kwangu, nahisi hata mimi nitaenda ibada keshoEehhh . ...nije kunyooshea kwako?
[emoji3590][emoji3590][emoji3590]Umejuaje?
Poa poaNaona kila dalili kabisa.
Niingie zamu au nirudi kulala?Walinzi popoz mmelala?
Ingia zamu ,hkn MTU Leo ,wataiba huku Uzi wetuNiingie zamu au nirudi kulala?
Nakuachia zamu4:00
Nimekuja kuchungulia Mara moja . endelea tu na zamuNakuachia zamu