JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Mangi naomba nyanya fungu tatu na vitunguu nane na pilipili mwendo kasi saba ninajambo langu kabla sijaenda lindo [emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481]
 
Amen tumeshasali mkuu

Ee, Mwenyezi MUNGU usiku unaingia, natubu nilipokukosea, nisamehe kwa nilipokukosea MUNGU wangu, kwa kujua au kutokujua, nakuomba kwa neema yako uendelee kuwa pamoja nami, unilinde na mabaya yote yatakayo athiri mwili au roho yangu. Mwisho wakumbuke watu wote wenye mahitaji mbali mbali waguse kadiri ya mahitaji yao! Amen

#TunaombeanaMemaWaungwana[emoji120][emoji120]
 
yani mapenzi haya ,katoto kamepiga simu saa 9 hii et kamenimiss ,nimejithidi nimeamka nmepokea tumeongea dakk 10 nyingi kanasema kana usingizi bila kujua kuwa amekata usingizi wangu. inabidi nikaache kalale popo niendelee kupiga doria tu hamna namna
 
Back
Top Bottom