JamiiForums Usiku wa manane
yani mapenzi haya ,katoto kamepiga simu saa 9 hii et kamenimiss ,nimejithidi nimeamka nmepokea tumeongea dakk 10 nyingi kanasema kana usingizi bila kujua kuwa amekata usingizi wangu. inabidi nikaache kalale popo niendelee kupiga doria tu hamna namna
Hahaha wangu alikuwa na mazoea hayo, ikafikia kipindi nikawa sipokei cm zake kama nina usingizi wa mang'amung'amu au nikiwa jf nasoma kitu sensitive. Asubuhi nikiamka namwambia nilikuwa nimelala wakati unapiga, naye anareply mbona nilikuwa nakuona online whatsapp? Namjibu nilisahau kuzima data mwisho wa maongezi, kumbe nipo JF lindoni kina Depal yna2 Rowin wakinilindisha huku kwa stories na vibao motomoto
 
Screenshot_20200925_225015.jpg
 
Back
Top Bottom