JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Umeamka salama mkuu? Maana si kwa tungi la jana. Au bado mwendelezo[emoji16][emoji16]

Kumbe juzi nilibeba mzigo flan nikasahau leo nafanya fanya usafi bwana bwana si nikaziona zimesimama dede na kufagia kwenyewe nimeishia hapo hapo..... Alafu ukiwa lindon nishtue basi unanipungia japo mkono nivimbe kidogo na mm manake ss lindo letu hatuna siraha ni ving'ora tu kikiwaka ni umarathoni tu na mdomo unageuka spika.... Weziiiiii..... wezziiiiii..... majambaziiiii...... weeeee ni shiiiida! Usiku una mengi! Ila niko makini[emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481]
 
Niko poa kabisa namshukuru MUNGU mnooo kwa ulinzi wake uliotukuka kwa kweli sifa na heshima ni zake..... [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mweeeeee siyo makanusho huoooo khaaaa! wanaita futi mia! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeongea ukweli
 
Kumbe juzi nilibeba mzigo flan nikasahau leo nafanya fanya usafi bwana bwana si nikaziona zimesimama dede na kufagia kwenyewe nimeishia hapo hapo..... Alafu ukiwa lindon nishtue basi unanipungia japo mkono nivimbe kidogo na mm manake ss lindo letu hatuna siraha ni ving'ora tu kikiwaka ni umarathoni tu na mdomo unageuka spika.... Weziiiiii..... wezziiiiii..... majambaziiiii...... weeeee ni shiiiida! Usiku una mengi! Ila niko makini[emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481]
Haina kwere mkuu, ila ili lindo liwe zuri inabidi upunguze hao "my" wako mundendee hata vibaka wakija unakuwa uko physically fit kupambana nao[emoji3]
 
Poa mkuu ila my wakuzugia, wakusafishia nyota midnight🤣🤣 manake usiku humu kama yale mapaka yanao lia kama watu maaaaiiiiii huku maaaaaiiiiii kule maiiiiiiii maaaaiiioiii khaaa! Wanatuchanganya na malindo yetu mkuu 🤣🤣 wamelala sasa!
Mbona kiu tena? Ohoooo..... hivi ilibaki hata kachupa kamoja kweli.... wait.... mida jombaaaa[emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481]
 
Poa mida mida mkuu
Poa mkuu ila my wakuzugia, wakusafishia nyota midnight[emoji1787][emoji1787] manake usiku humu kama yale mapaka yanao lia kama watu maaaaiiiiii huku maaaaaiiiiii kule maiiiiiiii maaaaiiioiii khaaa! Wanatuchanganya na malindo yetu mkuu [emoji1787][emoji1787] wamelala sasa!

Back
Top Bottom