JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Hapa nasikilizia kwa mbali kuna jamaa anagegeda demu

Nasikia sauti na miguno ya kimahaba na jamaa anapiga tako za fasta fasta halafu anatulia

Nateseka muno

Usiku...una mengi.... [emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481]
 
4 sale
110k
20200918_160020.jpg
 
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji6] sawa my

Mweee.... hivi akina my wengine ndiyo mumelala fofo hivyo amukeni basi museme japo my then muendelee kulala khaaaa!!! Huyu my kule my ..... We my .... mmh! Sorry siyo my ...waiter ebu niongeze ya moto plz[emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481]
 
Wale wakulala mida hii ...tuombe... MUNGU walinde watoto wako dhidi ya vinyamkela, vibwengo, wachawi, wezi na hila zote za shetani walale unono na njozi nzr nzr .... semeni amen! Laleni sasa.... waiter nipe kidosho changu[emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481] niendelee.... Asante
 
Haha tafuta nawe uitwe my mkuu😂😂
 
Wale wakulala mida hii ...tuombe... MUNGU walinde watoto wako dhidi ya vinyamkela, vibwengo, wachawi, wezi na hila zote za shetani walale unono na njozi nzr nzr .... semeni amen! Laleni sasa.... waiter nipe kidosho changu[emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481] niendelee.... Asante
Kidosho bado kinakuburudisha hapo au nawe ushakata kamba?
 
Kidosho bado kinakuburudisha hapo au nawe ushakata kamba?

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nilirudi lindoni busy busy na lindo nimeshakabidhi sasa! Tuna siraha basi siye kama ving'ora tu..... Waiter mwambie wajikoni aniletee supu ya ulimi.... ndimu na pilipili nyingi nipe na ya moto nipate starter kidogo [emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481]
 
Haha tafuta nawe uitwe my mkuu[emoji23][emoji23]

🤣🤣🤣🤣🤣🤣 waiter niongeze mbili za mwisho nikapumzike kidogo, jitokeze my popote ulipo [emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481] dedication : Lone survivor ni move hii lkn my siyo li song🤣
 
Muda wa wakongwe huu. Ngoja nipitie pande zote kuanzia lango la kusini, kaskazini mpaka mashariki na magaribi kuhakiki usalama wa lindo.

Yaaani usiku pamoja nimepiga mundende ila full kusisimuana huku my kule my unajikuta umetulia ka unang'olewa jino🤣🤣 watu full malove love .... usiku una mengi ... tunavumilia tu [emoji481][emoji481][emoji481][emoji481]
 
Back
Top Bottom