Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,386
- 95,833
Hahahaha, sawa sawaKazi na dawa!
Hahahaha, sawa sawaKazi na dawa!
Hapana, tuko hapa tunalindaWarembo wote wamelala?
Pole sanaUsingizi umekata
[emoji769]Haha hyy ni mimi kbsa hapa nina usingizi lkn staki kulala[emoji23]
Poole sana! Na hongera kwa ujasir wa kupambana nao...leo naona walinzi wapo likizo humuNimetoka kuwatimua vibaka wali infiltrate kwenye mabanda ya mifugo huko nje nyumba.Hakika asbh ya ningelia kama mbwa maana hasara ambayo wangenisababishia sipati picha.
Almost toka saa 1:50.
NB
Sikujua kama na mm siku moja nita comment huu uzi.
Shukrani kwakwel.Hapa navuta vuta time madogo wkiamka kujiandaa for school mm ndio nilale sasa maana nahis kama watarudi🤔🤔Poole sana! Na hongera kwa ujasir wa kupambana nao...leo naona walinzi wapo likizo humu
Nimetoka kuwatimua vibaka wali infiltrate kwenye mabanda ya mifugo huko nje nyumba.Hakika asbh ya ningelia kama mbwa maana hasara ambayo wangenisababishia sipati picha.
Almost toka saa 1:50.
NB
Sikujua kama na mm siku moja nita comment huu uzi.
Asee hongera sana MkuuShukrani kwakwel.Hapa navuta vuta time madogo wkiamka kujiandaa for school mm ndio nilale sasa maana nahis kama watarudi[emoji848][emoji848]