JamiiForums Usiku wa manane
Iceberg9 kuna chomboz nimekikubali humu JF Ila sasa mi niko Kanda maalumu chenyewe kiko DSM sasa tumefall in Love sasa What should I Do?
Cha kufanya anzisha mahusiano nae kama yumo humu JF, anza mdogo mdogo mzoeane muwe marafiki wa kushibana, mkitoka hapo mjipandishe vyeo sasa mtafutane mkayajenge... Hakuna relationship imara kama hile iliyoanza kwa kuwasiliana na kuzoeana mkiwa mbali, siku mkikutana basi imeisha hiyo, mnaweka mpira kati ,

Faida zake
-Mtadumu
-Hamtachokana
-Mtataniana na kuwa wenye furaha
-Mtasaidiana
-mtapendana sana tu
 
Cha kufanya anzisha mahusiano nae kama yumo humu JF, anza mdogo mdogo mzoeane muwe marafiki wa kushibana, mkitoka hapo mjipandishe vyeo sasa mtafutane mkayajenge... Hakuna relationship imara kama hile iliyoanza kwa kuwasiliana na kuzoeana mkiwa mbali, siku mkikutana mpira umeisha mnaweka kati game linaanza,

Faida zake
-Mtadumu
-Hamtachokana
-Mtataniana na kuwa wenye furaha
-Mtasaidiana
-mtapendana sana tu
Kumbe wewe ni mshauri mzuri hivi ?
 
Back
Top Bottom