Niliingia nikaona ziiiiMhmhhhh kumbe uliingia lindo jana![]()
Aisee...hii mbaya Ila huyu dingi hafiki mbinguniHii imekaajeView attachment 1566870
Shida hiyo... Niambie leo unakesha au ndiyo mpaka mida ya wangaNiliingia nikaona ziiii
Huyu mshua hafiki mbinguni, je na mama yake?Aisee...hii mbaya Ila huyu dingi hafiki mbinguni



Sikeshi leo nalala muda si mrefu..labda nirudi mida ya wangaShida hiyo... Niambie leo unakesha au ndiyo mpaka mida ya wanga
Tukutane mida hiyo macho yakiwa open labdaSikeshi leo nalala muda si mrefu..labda nirudi mida ya wanga
Mama yake anafika bila shida..kitanda hakizai haramuHuyu mshua hafiki mbinguni, je na mama yake?![]()
Sawa mpendwaTukutane mida hiyo macho yakiwa open labda
JidanganyeMama yake anafika bila shida..kitanda hakizai haramu

Sema umetia kofuliSawa mpendwa
😂😂 Kweli tena..mtushukuru Basi tunapoamua kuwapa heshima ya ubaba😜Jidanganye![]()
Wapi tenaSema umetia kofuli