JamiiForums Usiku wa manane
Wewe Mungu wetu, muumba wa mbingu na nchi tunakushukuru kwa ajili ya usiku huu ambao umekua wenye baraka tele.

Tunakusihi utusamehe dhambi zetu na makosa yetu, sisi ni watoto wako, tunaikabidhi mipango yetu yote mikononi mwako, bariki mawazo yetu, bariki kazi za mikono yetu, ponya wenye shida nao taabu mbali mbali. Kwako peke yako kuna uponyaji na faraja ya kweli.

Tunapokwenda kwenye kipindi cha uchaguzi tunakusihi ukasimame wewe mwenyewe, wewe ukawe kiongozi wetu Mkuu.

Tunaomba mambo haya na yale ambayo hatukuyaomba ukapate kutubatikia kama mapenzi yako na si kwa mapenzi yetu. Amen
Safiiiii ameeeeennnn
 
Back
Top Bottom