Aisee wengi kumbe tunasumbuliwa na mafua kipindi hiki.0222hrs. . mafua sio kitu kizuri
Nyimbo ipi ya gospel unayosikiliza muda huu?nasikiliza gospel..its like ulimwengu umenitenga
![]()
Karibu mgeniNidhamu muhimu, kwa ilo ata usiwe na Shaka mkuu
Ulipotelea wapi mkuu?Uwe na amani hapa ni salama kwa wote, kikubwa ni nidhamu ya kazi
If you believe in the massage of that song anza kuimeditate yaani anza kuitafakari ukilinganisha na maisha yako then ingia kwenye maombi. Itakupa amani na utapata usingizi mzuri tuya kinigeria mkuu siipat vzur, kla nkjarb kulala nashndwa
Hahahaha excess love mkuu😀😀sahv ni XXL Love by Mercy Chinho...
tooo machooo exceess lavoo
Sawa I was trying to help through gospel songs meditation.aah mkuu hiyo ndo nafanya ila siwez kumediate wimbo ni mambo tu zingne za maisha ndiyo znawezekana..
hehehe eeh ndo hiz song znanibarik mnoHahahaha excess love mkuu![]()
Poa poa mkuu. Ukimaliza hiyo msikilize tena mwanadada huyo huyo Mercy katika kibao hiki;hehehe eeh ndo hiz song znanibarik mno
hii mpk nijizoesheSawa I was trying to help through gospel songs meditation.