Habari za kipindi kilichopita?02:58 Good Morning Guards
Karibu tuliendeleze kijana.lindo limenog
Haha watoto ndio wanalala, wakubwa usiku ndio muda wa kutafakari asubuhi itakuwaje na kudumisha upendo.Lala
Yeah huu ndio muda wa kuasisi huu Uzi. Karibu mkuuManane ndio hii.. Naingia zamu..
Ahsante sana..Yeah huu ndio muda wa kuasisi huu Uzi. Karibu mkuu





Bado kidoogo.... Tumalizie majukumuKumekuchwaaaaa![]()
Marvel ni Team unajua lakini James ni mtu mmoja.
NimesharudiUmeadimika kwel
Nimeshindwa kuendana na kasi ya usikuRafiki ni marufuku kuwa kwenye huu uzi mchana.Utapata laana!
Ndo ujirekebishe kama umegundua huo ni uzembe