Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,059
Fanya maajabu.Poa nitakuongeza
Fanya maajabu.Poa nitakuongeza
Niliielewa japo siwapendi marvel waongo wamezidiYes.
Captain yupo wapi baada yakurudisha ngao kazeeka lakini dunia nyingine kijana! [emoji15]Niliielewa japo siwapendi marvel waongo wamezidi
Niliielewa japo siwapendi marvel waongo wamezidi
Daaaah aseeh sijawah amini ktk biashara ya ngono, heri niwe mpiga debe stand.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Watu wa DC ndio wale wale tu Goddessupo kama mimi aise,[emoji23] naikubali spider man tu tena ile part 1, mengine hua siangalii naboreka
Haha nimecheka jinsi ulivyoziita peds vipodo labda ndivyo vinavyoitwa kwa kiswahili fasaha. Whatever it is
Actually for me ni kawaida kumnunulia nimpendae chochote aniombacho kama kipo ndani ya uwezo wangu. I feel proud mwanamke akiniomba nimnunulie kitu, that's a one way of showing how I care about her kitu kuitwa "unachunwa" hiko kwangu hakipo ingawa kuna mipaka.
Binafsi nishanunua sana pedi hata kwa mdogo wangu wakuzaliwa tumbo moja.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Watu wa DC ndio wale wale tu Goddess
Super man, batman nk...DC wapi huko mkuu washington au
Kwani huyu kiumbe hajapewa Ban bado [emoji23][emoji23][emoji23]JF kuna member afu kuna huyu Papaa Azonto. hiki kichwa [emoji1430][emoji1430][emoji1430]
Kwani huyu kiumbe hajapewa Ban bado [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119] Heshima yako mkubwa unataka kuifanyia nn hiyo kitu?bado anepeta tu[emoji23],ila ile picha nime save aise
Captain si alikufaCaptain yupo wapi baada yakurudisha ngao kazeeka lakini dunia nyingine kijana! [emoji15]
Captain ngao kamuachia Sam?
Stark amekufa nani ataongoza Avengers?
Natalia?
Doctor stranger kwann alimuambia stark achukue yale mawe na kwann stark alimwambia "hey buddy you said we will win 40 million then tell me now what is it" ?
Stranger akamwambia "if I tell you now what is it! Then akamwambia it won't happen?
Wale watu wa Guardian of the Galaxy ndio wananivuruga kabisa.
Inanichanganya inanivuruga [emoji23][emoji23][emoji23] acha tu.
Mm naona thor zina unafuu japo mauzauza mengi kaupo kama mimi aise,[emoji23] naikubali spider man tu tena ile part 1, mengine hua siangalii naboreka
Hi[emoji42]chiqutitta sema kitu basi usipite kimya.
Hawa ni waongo ndo maana siwapendi bwana imeisha kwa ku force ndo maana mambo yakawa mvuruganoCaptain yupo wapi baada yakurudisha ngao kazeeka lakini dunia nyingine kijana! [emoji15]
Captain ngao kamuachia Sam?
Stark amekufa nani ataongoza Avengers?
Natalia?
Doctor stranger kwann alimuambia stark achukue yale mawe na kwann stark alimwambia "hey buddy you said we will win 40 million then tell me now what is it" ?
Stranger akamwambia "if I tell you now what is it! Then akamwambia it won't happen?
Wale watu wa Guardian of the Galaxy ndio wananivuruga kabisa.
Inanichanganya inanivuruga [emoji23][emoji23][emoji23] acha tu.
Hakufa captain alirudishwa mawe alafu akarudi amezeeka wakamtafuta Bucky na Sam wakamuona kumuona ndio alikuwa amezeeka sasa alafu ndio akampa shield sam ghafla akaonekana upande wapili anacheza blues na gal wake.!Captain si alikufa