MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,703
- 71,045
Umenikumbusha mbali sana!
[emoji23] [emoji23] Wakati nakua nilikuwa naisikia sana hiyo nyimboUmenikumbusha mbali sana!
Miaka ya 2003 hiyo ???[emoji23] [emoji23] Wakati nakua nilikuwa naisikia sana hiyo nyimbo
Acha tu [emoji23] umri wangu ni mdogo sema hivi vitu om nilivikuta nikiwa zero kabisa uzuri wangu huwa nakumbukumbu nzuri huwa nakumbuka miziki mingi wakati nakua lakini huo ni mmoja wapo nilikuwa naupenda sana.Miaka ya 2003 hiyo ???
Dooooh 🤣 🤣 🤣Acha tu [emoji23] umri wangu ni mdogo sema hivi vitu om nilivikuta nikiwa zero kabisa uzuri wangu huwa nakumbukumbu nzuri huwa nakumbuka miziki mingi wakati nakua lakini huo ni mmoja wapo nilikuwa naupenda sana.
Napenda sana music lakini hizi nyimbo nilikuwa ni mtt sana sijui hata kinachoibwa I just love melodies and beats that it [emoji23][emoji23]Dooooh [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Nimerudi[emoji24]
8:26
Tumemaliza jumuia sasa,mechi za veterans kutoa vitambiMmeamkajeeee?
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Tumemaliza jumuia sasa,mechi za veterans kutoa vitambi