simiss
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 2,100
- 6,170
Tyga - 1 of 1 naikubali sanaTyga - taste [emoji4]
Tyga - 1 of 1 naikubali sanaTyga - taste [emoji4]
Share pia zako mkuuNmeshakarbia mzee, hizi playlist za moto sana
[emoji23][emoji23]Kumekucha kumekucha.
Kendrick Lamar ft Drake - Poetic JusticeShare pia zako mkuu
Isikilize one in a minutes - Tyga a ft Justin bieber [emoji91]Tyga - 1 of 1 naikubali sana
Kabisa mama alikuwa ananiambia unamuaribu huyu mtt [emoji23][emoji23] Yani akisikia hiyo nyimbo lazima atupe show [emoji91]Ha ha mpwa alikuwa anafeel ile beat, sema Offset ni mtu mbaya sana, humu alitulia vilivyo
Kala kifala sana leo weekend hii.Yaani zilizobaki naona dancehall yenyewe. Nikieka humu hata Drizzle ataamka
Leo umeingia kiumeni kesho njoo utawakuta.Daaah sawaa nalala bhnaaa, hmna wa kunipa kampny gals
Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
We mzee unahatari kumbe [emoji91]Gucci Mane ft Migos -I Get The Bag
DooohLeo umeingia kiumeni kesho njoo utawakuta.
Muambie aje na ile Lamborghini ili huyu mzungu hapa apagawe jomoneeeeeh. LolHahahaha, basi natuma Dereva mwingine aje na Harrier
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji3]