JamiiForums Usiku wa manane
Hawa jamaa walitaka kunisanulia vitu ila sijui walikwama wapi?
Maeneo yenye ulinzi shirikishi hawagusi. Siku hizi wamebuni njia mpya huko maeneo ya uswahilini: wanachora ramani kama siku mbili tatu kabla then wanajikusanya kutoka maeneo tofauti tofauti alafu Kama wanafanya mazoezi vile ya jogging mida ya saa moja mbili hivi, wakiwa na visu, mapanga na nondo fupifupi. Wakikukuta unachochote wape, wakikuta duka wazi wamezama nakukomba hela, vitu hawachukui maana hawataki uzito😁.
Haya mambo wanayafanya huko maeneo ya vingunguti, tabata kisukuru, segerea mpaka Jeti rumo na kipawa. Kuna Jena wanawaita limenitoka kidogo.....
 
Back
Top Bottom