Kwanini?moyo unadunda
Sijambo..Nitakupigia.....
Mzima lakini ?
Vizuri, kitambo sana tunapishana.Sijambo..
Naogopa gizaKwanini?
Shtua kidogoNaogopa giza
Yes, mambo mengi mjiniVizuri, kitambo sana tunapishana.
umejuajeShtua kidogo
Kweli aisee, ila inabidi uyapunguze tuwe tunaonana mara moja moja au kuna ubaya au hakuna haja ya kuonana mimi na wewe ?Yes, mambo mengi mjini
😜umejuaje
Hebu tuone picha alafu nitakwambia ukweliLeo kuna binti kaniambia mi ni handsome? Kweli I know I'm ugly
Ushawahi kutana na mtu ukahisi ulishawahi onana nae mahala fulani, afu unajisemea sio yeye, unachapa mwendo?
nitakutumia kesho unikumbusheHebu tuone picha alafu nitakwambia ukweli
YesUshawahi kutana na mtu ukahisi ulishawahi onana nae mahala fulani, afu unajisemea sio yeye, unachapa mwendo?
I feel that way
Kama hivi nilivyoona post yako mkuu kama nakumbuka vile pale BMC ,DPS,K3, B2,B1 lakini nachapa mwendo😛Ushawahi kutana na mtu ukahisi ulishawahi onana nae mahala fulani, afu unajisemea sio yeye, unachapa mwendo?
Abee