Hii mida ya wezi, kaa kitimamu mlinzi😊0500
Mida flani lindo linaelekea eleka kufungwa
Tuko salama mkuu.... Lindo lii shwariNapita tu kuwajulia hali walinzi wa leo.
Je salama?
Keep it safeTuko salama mkuu.... Lindo lii shwari
UmeadimikaUsiku wa manane
3:22
Hakuna hiyo kitu, tunakuchora tuLeo nalinda mwenyewe mpaka kukuche nikisindikizwa na vibao laini toka kwa manguli wa kuliwaza![]()
Haha nimekushtua maana ulikuwa umesinzia mkuu😂😂Hakuna hiyo kitu, tunakuchora tu
Worry out mkuu utapokea report kukishapambazukaKeep it safe
Hamna mzee, nipo macho nawalia timing wale wezi wa alfajiriHaha nimekushtua maana ulikuwa umesinzia mkuu![]()
Wee hakikisha lango la kaskazini lipo salama muda wote, muda ukifika utapewa maelekezo yakulifunga.Leo wacha nifunge Mimi lindo!
Ndio mida yao adhimu hii... Wanakomba kila kitu wakati watu wamezama kwenye lucid dreams😁😁Hamna mzee, nipo macho nawalia timing wale wezi wa alfajiri
Hawa jamaa ni nuksi, ukizembea tu kidogo washafanya yao.Ndio mida yao adhimu hii... Wanakomba kila kitu wakati watu wamezama kwenye lucid dreams![]()
Wengine hawaachi hata ndalaHawa jamaa ni nuksi, ukizembea tu kidogo washafanya yao.
Ila haya maisha kweli kuviziana. Mwizi shughuli zake ni usiku tukilala. Mchana anapiga mbonji daadekiWengine hawaachi hata ndala
Mateja wa asubuhi noma kweli![]()


Wezi nyoko sana 😁😁Ila haya maisha kweli kuviziana. Mwizi shughuli zake ni usiku tukilala. Mchana anapiga mbonji daadeki![]()
Wanakurudisha hatua 10 nyumaWezi nyoko sana![]()
10?!😨 ngoja wazame ghetto alafu we haupo ndo unajua 10 au 0. Hawaachi hata mfagio😂😂Wanakurudisha hatua 10 nyuma