Ncha Kali
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 15,404
- 29,370
Labda umri, pia usikomae sana unaweza zalisha tatizo jingine. Huyo anataka umfikishe mbinguni?
Hela sina, nitafanyaje masikini mie... nilinde heshima kwa ukucha walau.
Labda umri, pia usikomae sana unaweza zalisha tatizo jingine. Huyo anataka umfikishe mbinguni?
Mkuu wewe bado haujaingia uuchumiwa kati?Hela sina, nitafanyaje masikini mie... nilinde heshima kwa ukucha walau.
[emoji23][emoji23][emoji23] we jamaa. Kama umeweza kummiliki mtoto mzuri lazima ya kubadili mboga unayo.Hela sina, nitafanyaje masikini mie... nilinde heshima kwa ukucha walau.
Mkuu wewe bado haujaingia uuchumiwa kati?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] analindia wapi mkuu?Huyu Stephen Chelu siku hizi yeye bize kulinda madera tu, bure kabisa!
Halafu unazingua ujueSuper Villain Dogo unahitajika huku
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] analindia wapi mkuu?
Nchi nzima tumevuka wewe unangoja nini?Bado tiamaji tiamaji.
[emoji23][emoji23][emoji23]Atakuja mbio sasa hivi, usinitaje. [emoji1493][emoji1493][emoji1493]
Nchi nzima tumevuka wewe unangoja nini?
Kwa hiyo waunga juhudi ndio tumevuka?Mi nilikuwa siungi juhudi!
Kwa hiyo waunga juhudi ndio tumevuka?
Sasa unaona madhara yake unakimbiza upepo tu. Ngoja waunga juhudi wakuzidi keteBila shaka, mi nafsi inanisuta.
Sasa unaona madhara yake unakimbiza upepo tu. Ngoja waunga juhudi wakuzidi kete
Kwa hiyo upo tayari mapinduzi yakufike? Si unajua hawa viumbe bila pesa unaitwa mume trouserHakuna namna.
Kwa hiyo upo tayari mapinduzi yakufike? Si unajua hawa viumbe bila pesa unaitwa mume trouser
Fake hiyo edit [emoji23][emoji23]Hii ni kweli john cenna kaandika hili?!
Kwa kweli chiqutitta sijamsikia hapa kitambo. Sijui kapotelea wapi?Tulia kwanza, una taarifa za chiqutitta.?