Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,211
- 99,963
Hakuna rapshaWazee wa night kali
Hakuna rapshaWazee wa night kali
Sema nini Mpwa, wadada wote wamefunga PM zao muda huu dahWazee wa night kali
Njoo alfajiri wakati wa halftime utawapata mzee. Hahaa01:09
Muamshe baba Angel akusomea simulizi murua ya "Jokate the brave girl who softened heart of the Lord's King" by Dr.H.g.Turoto.Nahisi usingizi ila sitaki kulala.
Kina nani?Watakua washalala hawa
Karibu sana lindoniNami leo nyipo pamoja na nyinyi..
Karibu sana lindoni
Mimi nipo nalinda group hadi pakuche. Hadi wale wa morning glory wamalize, ile Morning glory ya KijitonyamaNashukuru
Nikilala ndani ya dakika 20.. kabla saa tisa haijagonga.. nitafurahia asubuhi