Juakali jr
JF-Expert Member
- Aug 8, 2019
- 737
- 1,751
Mkuu kwetu kigoma vijijini usitake niongee kwa lugha ya kigeniInajina lake hivi ndio wanaiitaje ile kwa lugha ya kigeni ile hiko kipengele![]()
Mkuu kwetu kigoma vijijini usitake niongee kwa lugha ya kigeniInajina lake hivi ndio wanaiitaje ile kwa lugha ya kigeni ile hiko kipengele![]()
unajua ukiacha bongo movie na ukakubali life lako mbona fresh.. hicho ndo kitu unapenda na sijawahi kukuhukumu mzee




Nadhani naweza kwenda likizo sasa ya lindo kwa muda mrefu mnanionea sana humu.Umeona hiyo halafu njia zake ndo zile zile za simba mwenda pole..yaani anatafuna kama hataki vile 😂😂Haha duuu kweli mwenye nacho anaongezewa 😂😂😂
Nakuonaga ukiongea lugha kwenye majukwaa mengine huko saiz umenikazia hutaki kutoa ushirikiano sioMkuu kwetu kigoma vijijini usitake niongee kwa lugha ya kigeni



Hapana ule nilisamehe. Huu wa 3. Mara 2 zote kanitolea nje. Hii ni mara ya mwisho.Hivi ndo mzigo ule ule wa toka january au![]()
Usiache lindo kijana watu watavamiwa ..kwanza saa hii nalaza hiki kichwaNazani naweza kwenda likizo sasa ya lindo kwa muda mrefu mnanionea sana humu.
Mkataa kwao ni mtumwaMara mm mluguru leo hivi mnanisingizia sana nyie watu![]()
😂😂😂 ntamuambia akulegezee kidogoHapana ule nilisamehe. Huu wa 3. Mara 2 zote kanitolea nje. Hii ni mara ya mwisho.
Huyu dogo ana roho ya kotapini
Usiache lindo kijana watu watavamiwa ..kwanza saa hii nalaza hiki kichwa



Bora ulale tu.Nalaza hii kichwa usijali 😂😂Bora ulale tu.
Daah angekua ni mdau wa uzi wa rikiboy na sisi wengine tungepata maujuzi kwa "mtaalam"Umeona hiyo halafu njia zake ndo zile zile za simba mwenda pole..yaani anatafuna kama hataki vile 😂😂
Hapo mkuu utakua unaanza kunisingizia.Nakuonaga ukiongea lugha kwenye majukwaa mengine huko saiz umenikazia hutaki kutoa ushirikiano sio![]()
NazaniNazani naweza kwenda likizo sasa ya lindo kwa muda mrefu mnanionea sana humu.


Hawezi huyo dogontamuambia akulegezee kidogo
Itamuharibia mbinu zake za kuonekana innocent japo ndani ni mafiaDaah angekua ni mdau wa uzi wa rikiboy na sisi wengine tungepata maujuzi kwa "mtaalam"
Hapo mkuu utakua unaanza kunisingizia.
Mimi kiswahili changu tu ni cha kujifunza




Umekuwa mwalimu wa Kiswahili kwetu ni kaskazini na kusini Kiswahili hatujui vizuriNazani
Nadhani![]()



Kumbe tupo wengiUmekuwa mwalimu wa Kiswahili kwenye kaskazini na kusini Kiswahili hatujui vizuri![]()
Nitakunyoosha tuliaNalaza hii kichwa usijali![]()




Muhimu tunaelewana haya mambo mengine tunaumiza kichwa tu.Kumbe tupo wengi