amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,143
- 31,275
Angalia usitekweDoria Micasa ubungo ,uelekeo 40/40 tabata
Angalia usitekwe
Shukrani kaka mkubwa. Mishe zinakwendaje mzee?Karibu Mzee!
Shukrani kaka mkubwa. Mishe zinakwendaje mzee?
Naona upo unapasha viungo motoMambo juu ya mstari!
Naona upo unapasha viungo moto
Kwani ushakamilisha ngwe ya pili?Nafunga ofisi mida hii, wakiamka mi nalala.
Kwani ushakamilisha ngwe ya pili?
Nini hujaelewa hapo mzeeUmetumia lugha ngumu
Nini hujaelewa hapo mzee
Nilimaanisha kipyenga cha awamu ya piliNgwe ya pili!
Nilimaanisha kipyenga cha awamu ya pili
Kwani ulipokuja hapa ulikuwa halftime au fulltime mkuu?Duh! ngoja nikuachie lindo tu, utafunga!
Level sit..tunaoteseka ni sisi tunaokaa vituo vya Kati.