Mimi hadi mda huu nimejifunika shuka.Kutokana hitilafu ya baridi na mwonekano wa gizagiza litokanalo na mawingu,muda wa lindo umeongezwa hadi jua litakapo angaza [emoji3060]
Kaa humo humo ,na Mimi ntarudi muda sio mrefu,jipe jotoMimi hadi mda huu nimejifunika shuka.
Hata pazia sijasogesha na kufungua madirisha.
Ninachati gubigubi ndani ya shuka.
Baridi na mimi tofauti.Kaa humo humo ,na Mimi ntarudi muda sio mrefu,jipe joto
Hakuna namna ukiona vp toka tukimbiekimbieBaridi na mimi tofauti.
[emoji38][emoji38] nani katutuma tuishi mikoa yenye baridi jamanMimi hadi mda huu nimejifunika shuka.
Hata pazia sijasogezq na kufungua madirisha.
Ninachati gubigubi ndani ya shuka.
Tulikua tunakusubiri ulete funguo
Nilishaondoka umeniita tena ngoja nihamie uzi wa machuraaRafiki kumeshakucha ondoka huku![emoji2211][emoji2211][emoji2211]
WachaaaFirewood usiku [emoji38][emoji38][emoji38] ilikua socks na bonge la blanket mixer koti
Mhmhh unakua wa kwanza lindo unakimbia wa kwanza lindoMuda washift ndo kama huu
Kula sio unene mm ni kamiss ila napakia ileile
Muhimu kuwahi mishe mishe
Nilikuepo
Hukuskilizia tu ila nilikusalimia kwa mbali