JamiiForums Usiku wa manane
Afadhali umejileta....umemwambie Nleterewa Nganengo kuwa uliniona wapi vile...?
Kwa jirani yangu kichwa kichafu
Kilichonifanya niangaze macho kwa shauku kubwa ni pale mlipokuwa mnasalimiana kidhungu (mkumbato type) am sorry it's not my intention to saw you guys but hiyo style ndio ilinifanya nikawa interested
 
Hukuniona mimi ulinifananisha tu! Mimi nilikuwa Mirembe kwa Nleterewa Nganengo kuchukua viroba
 
Back
Top Bottom