JamiiForums Usiku wa manane
Naona hukuridhika ulivyonizimisha siku mbili kwa viroba....sasa wataka kunimalizia eeeh!
Shindwa na ulegeee!
Hahahaha basi bibie ngoja nikuchemshie utumbo wa mende kwa heshima kabisa, alafu pia ni dawa ya kuondoa uchovu kwa watu wanaoshinda kwa majirani wakiosha vyombo na kupika na nani hii...
 
Hahahaha basi bibie ngoja nikuchemshie utumbo wa mende kwa heshima kabisa, alafu pia ni dawa ya kuondoa uchovu kwa watu wanaoshinda kwa majirani wakiosha vyombo na kupika na nani hii...
Hiyo supu itakuwa na mafuta mengi mno,naona unampango wa kuniongezea kitambi mpaka waniwekee X nyekundu ya bomoa
 
Hiyo supu itakuwa na mafuta mengi mno,naona unampango wa kuniongezea kitambi mpaka waniwekee X nyekundu ya bomoa

Eti X nyekundu,
Hiyo haina hata tone la mafuta, tena ikichanganywa na mwarobaini na pilipili kichaa unasahau kuhusu kitambi
Ila ujue kitambi flani kina mvuto wake wake bhana uwanjani, hasa kinapokua kinatikisika wakati wa kukimbilia mpira
 
Back
Top Bottom