Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,318
Hahaha yani umenifanya nikahama boarding kwa ajili yako ujueHuyo wa mirembe day atanifundisha saa ngapi?
Bora umekuja wewe,utanifundisha kubet
Alafu ghafla bin vuu ukasitisha mwalimu na masomo ati unamtaka jje's. Hukunitendea haki kwakweli

