JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

[emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji28][emoji119][emoji119][emoji119][emoji2088][emoji2088][emoji2088]dah nimecheka 9ht yote hii
Kwanza tambua kwamba mimi ni mkongwe, sijasoma hizi shule za mum and dad I'm going. Safari yenyewe tulitumia lori la shule STG. Hiyo namba ushawahi kuiona toka umezaliwa bwana mdogo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji28][emoji119][emoji119][emoji119][emoji2088][emoji2088][emoji2088]dah nimecheka 9ht yote hii
Huyu dogo analeta dharau. Anafikiri maisha ya enzi za mkoloni ni sawa na sasa hivi. By then shule tulikuwa tunakwenda tayari tushapevuka. Ilikuwa form 1 unafika shule form 5 unajua ni teacher. Hadi uzoee mazingira ndio utajua ukweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom