Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 27,582
- 53,322
Mida mibaya hii...Saiz ndio kumekucha sasa [emoji4]
Mida mibaya hii...Saiz ndio kumekucha sasa [emoji4]
OkyNothing
Kwann?Mida mibaya hii...
Kalale mwananchi.0207 [emoji42] [emoji870]
Mida ya wanga hiiKwann?
Nakwako pia.Guys usiku mwema, kumekucha
Nakuachia silahaNakwako pia.
Nasikia bati lina cheza cheza sijui ndio anasikiliza atanikuta nipo kitandani naangalia movie [emoji38][emoji38][emoji38]Mida ya wanga hii
Unaaga mashindanoGuys usiku mwema, kumekucha
Haya ww ziache na mm nitamuachia mwengine.Nakuachia silaha
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] Huyo mkemee tu, tumia jina la yesu utanipa mrejeshoNasikia bati lina cheza cheza sijui ndio anasikiliza atanikuta nipo kitandani naangalia movie [emoji38][emoji38][emoji38]
Mzee mablanketi chapa mtu si yapo ya kumwaga pande hizo. Sanuka na la kwako upate joto lenye utamu ndani yakeBaridi la Mbeya[emoji2962][emoji2962]
Kuna askari amechomoka lindo acha na mimi nichomokeUnaaga mashindano
Namkaribisha tuangalie movie wote [emoji38][emoji38][emoji38] Kama usingizi hana sio kila siku kuwangia watu.[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] Huyo mkemee tu, tumia jina la yesu utanipa mrejesho
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Namkaribisha tuangalie movie wote [emoji38][emoji38][emoji38] Kama usingizi hana sio kila siku kuwangia watu.
Leo umejitahidi sana. Naona ile morale imeanza kurudi.Namkaribisha tuangalie movie wote [emoji38][emoji38][emoji38] Kama usingizi hana sio kila siku kuwangia watu.
Ushauri mbovu sana huu.Mzee mablanketi chapa mtu si yapo ya kumwaga pande hizo. Sanuka na la kwako upate joto lenye utamu ndani yake
Sent using Jamii Forums mobile app